TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA ( TAMISEMI )
HALMASHAURI YA WILAYA YA MPWAPWA
MTIHANI WA KWANZA WA MAANDALIZI KABLA YA MTIHANI WA TAIFA
021 KISWAHILI
MUDA : SAA 3.00 SEPTEMBA, 2023
MAELEKEZO:
Jibu maswali yote
SEHEMU A: (Alama 16)
Jibu maswali yote katika sehemu hii.
1. Chagua herufi ya jibu sahihi katika vipengele (i) - (x), kisha andika herufi ya jibu sahihi hilo katika kijitabu chako cha kujibia.
Mwalimu wa Kiswahili alisikika akiwasisitiza wanafunzi kuwa maana katika lugha hutengwa katika mafungu mawili, maana ya msingi na maana ya ziada. Je maana ya ziada katika lugha hushughulikiwa na tawi lipi la sarufi?
Mofolojia
Sintaksia
Fonolojia
Semantiki
Plagmatiki
Ni taratibu na kanuni zinazomwezesha mtumiaji yeyote wa lugha kufanya mambo yafuatayo; kutunga tungo sahihi, kuelewa sentensi zilizotungwa na mtu mwingine anayetumia lugha hiyo;
Silabi
Matamshi
Fasihi
Sanaa
Sarufi
_______ni mtu aliyepotoka katika moja ya utanzu wa ushairi na baadaye kupata elimu na kubadili msimamo wake.
Maamuma
Mjuaji
Mjigambi
Manju
Gegedu
Taasis ya Taaluma ya Kiswahili (TATAKI) ni moja kati ya asasi zilizofanyiwa maboresho kutoka kwenye asasi kongwe ambayo ni;
TAKILUKI
UKUTA
TUKI
CHAWAKAMA
BAKITA
Wakutanapo husalimiana. Mofimu iliyopigiwa mstari katika neno hili hutekeleza majukumu yapi ya kisaraufi?
Hutumika kurejesha mtenda
Kutumika kurejesha mtendwa
Hutumika kurejesha mahali
Hutumika kurejesha njeo
Hutumika kueleza namna tendo linavyofanyika
Ni mwaka ambao Kiswahili kiliteuliwa kuwa lugha rasmi Tanganyika;
1925
1930
1962
1928
1964
Ipi kati ya sentensi zifuatazo ina kishazi tegemezi kielezi?
Mbuzi aliyechinjwa jana ameliwa leo asubuhi
Yanga inaongoza ligi
Mwanafunzi anasoma alichofundishwa darasani
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mtiifu sana
Angelisoma kwa bidii angelisaidia familia yake.
Bainisha sentensi sahihi kati ya sentensi zifuatazo;
A. Utakuja lini? "Mjomba aliniuliza"
Mjomba "aliniuliza utakuja lini?
Mjomba "aliniuliza utakuja lini"?
Mjomba aliniuliza "utakuja lini?"
"Mjomba aliniuliza utakuja" lini?
"Mama Anna anakuja" tungo hii ni tata. Utata huo umesababishwa na;
Msamiati "mama" kuwa na maana zaidi ya moja
Matumizi yasiyokuwa bayana ya viunganishi na vihisishi
Matumizi ya lugha ya fasihi
Kutozingatia taratibu za uandishi
Kuongeza vitamkwa visivyohitajika
Soma sentensi ifuatayo kisha onesha ngeli ya nomino iliyo katika sentensi hiyo na utaje ni ngeli ya ngapi;
U โ ZI (Ngeli ya sita)
U โ YA (Ngeli ya saba)
LI โ YA (Ngeli ya tatu)
U โ YA (Ngeli ya tano)
PA โ MU โ KU (Ngeli ya tisa)
QNS | i | ii | iii | iv | v | vi | vii | viii | ix | x |
ANS |
Oanisha maelezo yaliyo katika Orodha A na ya Orodha B ili kupata jibu sahihi la maelezo hayo.
ORODHA A
ORODHA B
Kipande cha tatu katika kila mshororo.
Ni jumla ya mapigo katika kila mshororo.
Mshororo wa pili katika shairi unaitwaje?
Fungu la mstari lenye maana kamili.
Irabu pia huitwa.
Mshororo wa mwisho ambao hujirudia kwa kila ubeti huitwa;
Kituo bahari
Kituo kimalizio
Mwandamizi
Aya
Mloto
Utao
Ubeti
Mizani
Vokali
Masivina
Sauti
Vina
ORODHA A | i | ii | iii | iv | v | vi |
ORODHA B |