๐‘ท๐’“๐’†๐’Ž๐’Š๐’–๐’Ž ๐‘ฝ๐’†๐’“๐’”๐’Š๐’๐’|๐‘ญ๐’–๐’๐’ ๐‘ท๐’๐’”๐’•๐’” ๐‘ผ๐’๐’๐’๐’„๐’Œ ๐‘ต๐’๐’˜

DEMO ~PAPER 219-QNS

OFISI YA RAISI TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA 

HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI

MTIHANI WA UPIMAJI 

KIDATO CHA PILI 2021

 

Jumatano 25 Agosti 2021 asubuhi Muda: 2:30

MAELEKEZO:

  1. Mtihani huu una sehemu A, B, C, D na E zenye jumla ya maswali kumi (10).
  2. Jibu maswali yote.
  3. Majibu yote yaandikwe kwenye nafasi ulizopewa.
  4. Majibu yote yaandikwe kwa kalamu yenye wino wa bluu au mweusi.
  5. Vifaa vyote vya mawasiliano visivyoruhusiwa havitakiwi katika chumba cha mtihani.
  6. Andika namba yako katika kila ukurasa wa karatasi ya kujibia.

SEHEMU A: UFAHAMU NA UFUPISHO (ALAMA 15)

1. Soma habari hii, kisha jibu maswali yanayofuata.

Mazingira ni kila kitu kinachomzunguka binadamu. Yapo mazingira ya aina nyingi lakini msingi wake hujikita katika makundi makuu mawili. Makundi hayo ni mazingira ya asili na mazingira ya kutengenezwa.

Mazingira asilia ni yale ambayo mwanadamu aliyakuta. Katika mazingira hayo pamoja na ustawi wake binadamu hakuhusika kwa njia yoyote kuyastawidha. Mfano wa mazingira hayo ni pamoja na milima, mito, mabonde na anga.

Mazingira ya kutengenezwa ni yale ambayo uwepo na ustawi wake ulianzishwa na binadamu. Binadamu alihusika moja kwa moja kila hatua na kuyafanya yaweze kukimu haja na mahitaji yake. Mfano wa mazingira hayo ni pamoja na makazi, mashamba, na miundo mbinu.

Mazingira yanakabiliwa na changamoto nyingi. Changamoto hizo ni pamoja na kuongezeka kwa harakati za binadamu katika uso wa dunia, hasa kilimo holela, uchimbaji wa madini usiojali viwanda visivyo endelevu. Ukataji wa miti usio na tija pia uanzishaji wa makazi na shughuli mblaimbali katika sehemu oevu. Mbali na changamoto hizo zipo pia changamoto za kimaumbile katika uso wa dunia. Sababu hizi ni pamoja na ukame, mafuriko, mlipuko wa milima ya volkano, tetemeko la ardhi na mabadiliko ya hali ya nchi.

Kutokana na changamoto hizo kuna kila haja ya kuangalia upya shughuli zote za binadamu ili kuwe na udhibiti. Lengo ni kuwa shughuli hizo ziwe zenye manufaa na si athari kwa mazingira. Kuhahitajika kutungwa sheria zintakazokuwa endelevu ili kufanya shughuli zote katika maeneo yote kuwa rafiki kwa mazingira. Tukiyatunza mazingira nayo yatatutunza. Ni lazima kila mmoja awajibike ipasavyo.

MASWALI:

(i) Andika kichwa cha habari hii.............................................................................

(ii)Bainisha aina mbili za mazingira yaliyotajwa katika habari hii

  1. ..............................................................................................................
  2. ..............................................................................................................

(iii) Vitu gani vinaunda mazingira ya kutengeneza? 3 ....................................................................................................................................................................................................................................

(iv) Changamoto zipi zinayakabili mazingira ? ....................................................................................................................................................................................................................................

(v) Unadhani ni njia gani zinaweza kuondoa changamoto za mazingira? ....................................................................................................................................................................................................................................

READ MORE

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.