OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
UPIMAJI WA MKOA WA KIDATO CHA PILI
021 KISWAHILI
MUDA: SAA 2.30 FEBRUARI, 2025
MAELEKEZO
Karatasi hii ina sehemu A, B, na C zenye jumla ya maswali kumi (10)
Jibu maswali yote
Sehemu A na C zina alama kumi na tano (15) kila moja na sehemu B ina alama sabini (70)
Zingatia maelekezo ya kila sehemu na ya kila swali.
Majibu yote yaandikwe kwa kalamu yenye wino wa bluu au mweusi.
KWA MATUMIZI YA OFISI TU |
||
NAMBA YA SWALI |
ALAMA |
SAINI YA MTAHINI |
1 |
|
|
2 |
|
|
3 |
|
|
4 |
|
|
5 |
|
|
6 |
|
|
7 |
|
|
8 |
|
|
9 |
|
|
10 |
|
|
JUMLA |
|
|
SAHIHI YA MHAKIKI |
|
SEHEMU A (ALAMA 15)
Jibu maswali yote katika sehemu hii
Katika kipengele (i) hadi (x) chagua herufi ya jibu sahihi kisha andika herufi ya jibu hilo katika visanduku ulivyopewa
โKutwa mara tatu: asubuhi, mchana na jioniโ Dhima ya muundo wa mazungumzo haya ni ipi?
Kupunguza ukali wa maneno
Kufupisha urefu wa mazungumzo
Kupamba lugha ya mazungumzo
Kuonesha msisitizo wa mazungumzo
Umepewa kazi na mwalimu wako wa Kiswahili kubainisha mofu huru katika maneno ya Kiswahili kati ya haya yafuatayo ni neno lipi limeundwa na mofu tajwa katika kazi uliyopewa?
Uji B. Uzuri
C. Uchache D. Ufa
Tumia ujuzi na maarifa uliyoyapata kwenye somo la Kiswahili kubainisha sentensi ambayo haina kitenzi kisaidizi kati ya hizi zifuatazo. A. Mwalimu Shabani alikuwa mtiifu sana.
Ramadhani atakuja kutumbuiza kesho
Mgeni alikuwa anasoma gazeti
Wanafunzi wanatakiwa kulala mapema
Vitabu vipo darasani japokuwa havitoshi. Je, wewe kama mtaalamu wa sarufi, neno lililopigiwa mstari linaingia katika kundi gani la maneno?
Kivumishi B. Kihusishi C. Kielezi D. Kitenzi
Katika neno โtumechoshwaโ silabi ya mwisho ina muundo gani wa silabi?
Irabu peke yake
Konsonanti, konsonanti, kiyeyusho, irabu
Konsonanti, konsonanti, konsonanti, irabu
Konsonanti na irabu
Adela ni mwanafunzi wa kidato cha pili. Aliambiwa na mwalimu wake atoe fasihi sahihi ya dhana ya โufahamuโ na akaitoa kwa usahihi. Je, fasihi hiyo ni ipi kati ya hizi zifuatazo:
Kujua, kufikiri na kuelewa jambo.
Kuona, kusikiliza na kusoma jambo
Kujua, kueleza na kufafanua jambo
Kusoma, kusikiliza na kufikiri jambo
Baada ya mafuriko kusomba vijiji vingi vya Rufiji, Waziri Mkuu alipowahutubia aliwaambia โwapige moyo kondeโ je, semi hii ina maana ipi kati ya hizi zifuatazo:
Kutaharuki B. Kusononeke
C. Kujikaza D. Kuhama
Chukulia kuwa umepewa kazi ya kuandika insha ya kimasimulizi. Ni alama zipi utazitumia kunukuu maneno yaliyosemwa na mtu fulani?
Mkato B. Nukta
C. Mabano D. Mtajo
Zifuatazo ni sifa za barua ya kirafiki isipokuwa: A. Huandikwa kwa lengo la kijamii.
Hazimpi mwandishi kuandika barua yenye urefu anaoutaka
Humruhusu mwandishi kuandika barua yenye urefu anaoutaka
Zina anwani moja tu
Je, ni sentensi ipi ina muundo wa vipashio vifuatavyo: W + t + V + E
Sisi ni wengi mno
Mwalimu ni mrefu sana
Wote tulikula wali jana
Yeye aliimba vizuri sana